• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kigamboni Municipal Council
Kigamboni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Agricultural Activities

Manispaa ya Kigamboni ni miongoni mwa Wilaya ambayo Kilimo huchangia katika kuongeza kipato kwa wakazi, upatikanaji wa chakula (lishe bora) na hifadhi ya mazingira. baadhi ya mazao ya kilimo yanayotumiwa na wakazi wa Jiji huzalishwa katika maeneo mbalimbali katikati na pembezoni mwa Wilaya. Mboga za majani na matunda ni mazao muhimu yanayozalishwa kutokana na kuwa karibu na soko (walaji) na bei nzuri. Mboga zinazozalishwa ni mchicha, matembele, chainizi kabichi, bamia, kisamvu, sukuma wiki, bilinganya, uyoga, mnavu, kisamvu na maboga. Matunda ni pamoja na makakara, matango, papai, nanasi, matikiti maji, na machungwa.

Fursa zilizoko katika Kilimo

Wilaya ina fursa nyingi katika kilimo kutokana na kuwa karibu na soko kubwa (walaji), na  kuwa na makampuni ya usindikaji na miundombinu mizuri ya usafirishaji wa bidhaa ndani ni mkoa  na nje ya Mkoa. Mkoa una makampuni makubwa na madogo ya usindikaji wa mazao ya kilimo kama vile matunda, nafaka, hivyo hufanya kilimo kuwa na fursa nzuri  katika wilaya.

Wilaya ya Kigamboni kuwa moja ya wilaya za jiji la Dar es salaam, kumefanya wilaya kuwa na fursa nzuri ya kilimo cha mazao mbalimbali, kwani Takwimu zinaonesha kuwa kaya za jiji la Dar es Salaam zina kiwango kidogo cha umaskini wa mahitaji ya msingi ukilinganisha na kaya zinazoishi katika miji mingine na maeneo ya vijijini. Hii ni fursa kwa wazalishaji, wataalam wa ugani, wawekezaji na wadau mbalimbali wa kilimo kuongeza thamani katika bidhaa za kilimo na kuzingatia ubora katika uzalishaji, hususani matumizi ya kilimo hai (organic agriculture) ili kuchangamkia fursa hii inayoongezeka kwa kasi kutokana na kukua kwa kipato na uelewa wa wakazi wa Dar es Salaam.


Mazao kama vile korosho, muhogo na viazi huzalishwa kwa wingi katika Manispaa ya Kigamboni. Usindikaji wa unga wa muhogo na korosho hufanywa kupitia vikundi vilivyopo katika Manispaa. Uwepo wa Bandari ya Dar es Salaam, barabara zinazokwenda mataifa jirani, Mamlaka za Serikali kama vile Wizara mbalimbali za Kisekta ni fursa ambazo zinaweza kutumiwa na wazalishaji, wasindikaji na wafanyabiashara wa mazao ya kilimo katika kuzalisha, kusindika na kusafirisha bidhaa za kilimo nje ya nchi na kujipatia fedha za kigeni kwa ustawi wa taifa letu.



Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017. January 31, 2018
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA KIWANJA. March 08, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Hati ya makabidhiano ya majukumu ya KDA yakabidhiwa rasmi kwa Manispaa ya Kigamboni.

    April 17, 2018
  • Manispaa ya Kigamboni inatarajia kuanzisha kidato cha 5&6 julai 2018

    April 13, 2018
  • "Thamani ya fedha inaonekana kwenye miradi inayotekelezwa na Manispaa kigamboni" Mwenyekiti CCM Mkoa

    April 12, 2018
  • DC Kigamboni atoa siku 30 wawekezaji kuendeleza maeneo yao

    April 09, 2018
  • Angalia Zote

Video

HOTUBA YA MAGUFULI UZINDUZI WA PASSPORT ZA KIELEKTRONIKI.
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Ivestment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja

Kurasa Mashuhuri

  • eGovernment Agency
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Temeke Municipal Council

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Mjimwema Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255713297256

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa