• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kigamboni Municipal Council
Kigamboni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Housing

Manispaa ya Kigamboni iliundwa kutokana na wilaya mama ya Temeke kupitia Tangazo la Serikali Na. 462 la mwaka 2015 kuhusu mgawanyo wa Wilaya.  Wilaya ya Kigamboni ina ukubwa wa  kilomita za mraba 416. Aidha, Wilaya ya Kigamboni inapakana na Bahari ya Hindi kwa upande wa mashariki,  Wilaya ya Mkuranga upande wa kusini, kaskazini inapakana na Bahari ya Hindi na upande wa magharibi ipo Manispaa ya Temeke

Kufuatia Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 Wilaya ya Kigamboni ilikuwa na jumla ya watu 162,932 na kaya   40,133.  Kati ya hao wanaume walikuwa 81,199 na wanawake walikuwa 81,733.  Wilaya ya Kigamboni ina ongezeko la wakazi linalofikia asilimia 5.6 kwa mwaka hivyo hadi kufikia mwaka huu 2017, Wilaya ya Kigamboni inakisiwa kuwa na watu wapatoa 205,966 na Kaya 48,043. Kati yao wanaume ni 102,645 na wanawake ni 103,321

Ukubwa wa Wilaya Mpya ya Kigamboni na  Kuwa na ardhi kubwa ya wazi  kuliko Wilaya zote za Jiji la Dar es Salaam, kunaifanya wilaya ya Kigamboni kuwa na fursa nzuri sana katika uwekezaji wa aina zote.  hata hivyo Kigamboni kutokana na kuwa na miundombinu ya Uhakika na inayofikika vizuri, inaifanya kuwa sehemu yenye fursa za uwekezaji katika huduma ya Makazi.

Mashirika mbalimbali na wadau wameanza kuzichangamkia hizi fursa za uwekezaji katika makazi wakiwemo  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Watumishi Housing company, Avic  town na wengine wengi.

Tunapenda kuwakaribisha wadau wa Maendeleo na mashirika mbalimbali kuchangamkia hizi fursa na kuwekeza katika Wilaya yenye ardhi  iliyopangwa vizuri kwa matumizi mbalimbali.



Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017. January 31, 2018
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA KIWANJA. March 08, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Hati ya makabidhiano ya majukumu ya KDA yakabidhiwa rasmi kwa Manispaa ya Kigamboni.

    April 17, 2018
  • Manispaa ya Kigamboni inatarajia kuanzisha kidato cha 5&6 julai 2018

    April 13, 2018
  • "Thamani ya fedha inaonekana kwenye miradi inayotekelezwa na Manispaa kigamboni" Mwenyekiti CCM Mkoa

    April 12, 2018
  • DC Kigamboni atoa siku 30 wawekezaji kuendeleza maeneo yao

    April 09, 2018
  • Angalia Zote

Video

HOTUBA YA MAGUFULI UZINDUZI WA PASSPORT ZA KIELEKTRONIKI.
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Ivestment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja

Kurasa Mashuhuri

  • eGovernment Agency
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Temeke Municipal Council

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Mjimwema Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255713297256

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa