• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kigamboni Municipal Council
Kigamboni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Somangila

KATA SOMANGILA

Kata hii ipo pwani ya bahari ya Hindi, Kata hii ina jumuisha Mitaa (13) kumi na mitatu. Kata hii inapakana na kata ya Mjimwema. Upande wa kusini, Magharibi inapakana na kata ya Kiasarawe II na upande wa Kaskazini inapakana na Kata ya Kimbiji na upaande wa Mashariki ina pakana na Bahari ya Hindi. Kata hii ina Fukwe yenye mchanga laini, Kuna Hotel kadhaa kama vile

Sura ya ardhi ya eneo hili ni tambarare haina milima na  ardhi yenye mchanga unaopitisha maji kirahisi,

Wananchi wa maeneo haya hujishughulisha na shughuli za Uvuvi, Biashara cha  Kilimo cha matikiti maji, mihogo na mbogamboga,

Uongozi

Ofisi ya Kata ya Somangila zipo Mtaa wa dege ambapo  ndipo  palipo makao makuu ya kata. Kata hii pia ina vyama vya maendeleo ya wananchi wenyewe kama vive umoja wa kuzuia uvuvi haramu, Vyama vya kukopa na kuweka, na Chama cha kutunza Mzingira.



Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017. January 31, 2018
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA KIWANJA. March 08, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Hati ya makabidhiano ya majukumu ya KDA yakabidhiwa rasmi kwa Manispaa ya Kigamboni.

    April 17, 2018
  • Manispaa ya Kigamboni inatarajia kuanzisha kidato cha 5&6 julai 2018

    April 13, 2018
  • "Thamani ya fedha inaonekana kwenye miradi inayotekelezwa na Manispaa kigamboni" Mwenyekiti CCM Mkoa

    April 12, 2018
  • DC Kigamboni atoa siku 30 wawekezaji kuendeleza maeneo yao

    April 09, 2018
  • Angalia Zote

Video

HOTUBA YA MAGUFULI UZINDUZI WA PASSPORT ZA KIELEKTRONIKI.
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Ivestment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja

Kurasa Mashuhuri

  • eGovernment Agency
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Temeke Municipal Council

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Mjimwema Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255713297256

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa