• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kigamboni Municipal Council
Kigamboni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Maji


Wakazi wa Wilaya ya Kigamboni wanapata huduma ya maji kutoka kwenye vyanzo vya visima virefu vya Serikali 83.  Kati ya hivyo visima 26 ni vya jamii, visima 57 ni vya taasisi za Serikali (31 shule ya msingi, 17 vituo vya afya na 9 shule za Sekondari).  Aidha vyanzo vya maji vingine ni visima vya watu binafsi.

Mahitaji halisi ya maji ni kiasi cha lita za ujazo 15. 6 millioni kwa siku (wastani wa lita 80 kwa mtu kwa siku).  Kiasi halisi cha uzalishaji wa visima vya serikali inakadiriwa kuwa ni lita za ujazo 8.97 millioni kwa siku.  Sawa na asilimia 51.1

Katika kukabiliana na upungufu wa maji na kuhakikisha kuwa wananchi wanapata maji safi na salama Serikali kupitia mamlaka ya maji safi na maji Taka (DAWASA), visima virefu 15 kati ya visima ishirini (20) vimechimbwa katika kata za Kimbiji na Kisarawe II.  Mara mradi huu utakapokamilika utakuwa na uwezo wa kuzalisha maji lita za ujazo 270 milioni.

Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni kupitia Programu ya maji imechimba visima virefu vitatu (3) katika kata za Vijibweni, Somangila na Pemba Mnazi.  Visima hivi vinauwezo wa kuzalisha maji lita za ujazo 264,000.



Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017. January 31, 2018
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA KIWANJA. March 08, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Hati ya makabidhiano ya majukumu ya KDA yakabidhiwa rasmi kwa Manispaa ya Kigamboni.

    April 17, 2018
  • Manispaa ya Kigamboni inatarajia kuanzisha kidato cha 5&6 julai 2018

    April 13, 2018
  • "Thamani ya fedha inaonekana kwenye miradi inayotekelezwa na Manispaa kigamboni" Mwenyekiti CCM Mkoa

    April 12, 2018
  • DC Kigamboni atoa siku 30 wawekezaji kuendeleza maeneo yao

    April 09, 2018
  • Angalia Zote

Video

HOTUBA YA MAGUFULI UZINDUZI WA PASSPORT ZA KIELEKTRONIKI.
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Ivestment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja

Kurasa Mashuhuri

  • eGovernment Agency
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Temeke Municipal Council

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Mjimwema Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255713297256

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa