• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Maendeleo ya Jamii

  UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII NA VIJANA KUPITIA SEHEMU AU “SECTIONS” ZAKE KATIKA IDARA

I.    UKIMWI

Sehemu ya ukimwi inajishughulisha, kuratibu na kusimamia masuala ya ukimwi, katika suala hili idara inashirikiana na ASASI mbalimbali za nje na ndani ya nchi katika kupambana na maambukizi ya ukimwi mashirika hayo ni kama ifuatavyo: SAUTI, JHPIEGO, PSI, PASADA, TAYOA, UMATI, PATHFAINDER, PHARM ACCES ENGENDER,HEALTH, JSI, NA MDH. TEYODEN, MTANDAO WA ASASI MANISPAA YA KIGAMBONI, MTANDAO WA WALIOATHIRIKA NA VIRUSI VYA UKIMWI. Wadau hawa kwa pamoja na Manispaa wameweza kutoa elimu ya ukimwi, kipima mambukizi ya ukimwi, kutoa misaada ya vyakula kwa watu walioathirika na kutoa mafunzo kwa jamii kwa njia mbalimbali kama vijarida, sinema, mikutano,   runinga na redio. Aidha, kuanzia mwaka 2017, Septemba hadi Februari, 2017.  jumla ya watu 13443 walipimwa na kati ya hao 206 walikuwa na maabukizi ya virusi vya ukimwi sawa na asilimia 1.53.  Aidha , Halmashauri kupitia bajeti yake ya mwaka 2017/2018 imetenga kiasi cha shilingi milioni 37.9 katika masuala yote yanayohusu ukimwi.

II.    MIKOPO YA WANAWAKE NA VIJANA

Halmashauri ya Manispaa ya kigamboni inatoa mikopo ya wanawake na vijana kwa kupitia Benki ya DARES SALAAM COMMUNITY BANKI (DCB) ambapo kwa mwaka 2016/2017, Halmashauri ya Manispaa ya kigamboni imewekeza kiasi cha shilingi milioni 239 katika benki ya DCB. Aidha, katika mwaka wa 2017/2018 imetenga tena shilingi milioni 753 kwa ajili ya mikopo ya wanawake na vijana.

Idara ya maendeleo kupitia  watumishi wake walio katika kila kata, huhamasisha wananchi kuunda vikundi vya watu watano watano walioafikana na kisha kuwasilisha Benki ya DCB, ambayo hutoa mafunzo ya uendeshaji wa biashara na taratibu za mikopo, vikundi vikikubaliana na masharti hupewa mikopo inayoanzia shilingi 250,000.00 hadi shilingi 350,000.00 kwa kila mwanakikundi. Hadi mwezi Februari, 2017 Halmashauri ya manispaa ya kigamboni imeweza kutoa mikopo kwenye vikundi 114 yenye thamani ya shilingi 161,500,000.00. na utoaji wa mikopo unaendelea.

III.    VIJANA

Idara ya mendeleo ya jamii na vijana  kupitia kitengo cha vijana na mtandao wa vijana KIYODEN  (Kigamboni Youth development Network ). Mtanadao huu umeanzishwa ili kuleta umoja kwa vijana na kuanzisha vikundi mbalimbali vya kijamii na kiuchumi. Vijana, pia wanapatiwa mikopo kupitia Benki ya DCB, ikiwa ni nusu ya mkopo wote uliotengwa na manispaa. Aidha, hadi Februari, 2017 vikundi vya vijana 38 vimeweza kupatiwa mikopo kupitia DCB wenye thamani ya shilingi milioni 9.5. Idara  imeweza kuhamasisha vijana ili waweze kuanzisha vikundi mbalimbali vya utamaduni, michezo ya kuigiza, uvuvi, kilimo na ufugaji wa samaki na vijana hivi sasa wameonyesha nia ya kuazisha vikundi hivyo, kupitia mtandao  wa KIYODEN.  Idara  pamoja vijana  imeanza kuandaa mbio za mwenge wa uhuru kwa mwaka 2017/2018

IV.    WANAWAKE NA WATOTO

Idara kupitia, dawati la jinsia na watoto imeunda mabaraza ya watoto mkatoka kata zote 9 ambao hukutana na kujadiliana matatizo wanayopata watoto katika sehemu mbalimbali kama mashuleni , majumbani n.k. Aidha, sehemu hii imeweza kishirikiana na sehemu ya mikopo katika kuhamasisha wanawake ili waweze kuunda vikundi na kujikwamua kiuchumu. Idara pia imeshirikiana na taasisi mbalimbali kama TBS katika kutoa mafunzo ya usindikaji vyakula.

V.    TASAF (Tanzania Social Fund)

Halmashauri ya Manispaa hupata msaada wa ruzuku kwa familia duni kupitia mfuko wa TASAF wa kusaidia familia duni. Aidha, familia 1215 zinanufaika na msaada wa ruzuku hiyo, kupitia TASAF. Fedha hizi hupitia katika Halmashauri ya Temeke kwa sababu Halmashauri ya Manispaa ya kigamboni ni mpya na haina mkataba na TASAF.



Matangazo

  • Namba za simu za Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigamboni July 04, 2022
  • Tangazo la kuitwa kazini July 12, 2022
  • Tangazo la Makampuni yanayojihusisha na upimaji na uuzaji wa viwanja December 21, 2022
  • Tangazo la uuzaji wa viwanja Manispaa ya Kigamboni December 08, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKALLA ATOA VIPA UMBELE KWA WAKUU WA WILAYA WAPYA DAR ES SALAAM

    January 31, 2023
  • RC MAKALLA ATOA VIPA UMBELE KWA WAKUU WA WILAYA WAPYA DAR ES SALAAM

    January 31, 2023
  • WANAFUNZI WATARAJIWA KIDATO CHA KWANZA WATAKIWA KURIPOTI SHULENI KWA WAKATI

    January 30, 2023
  • MTOTO ANA HAKI YA KUPEWA ELIMU MUANDIKISHE

    January 29, 2023
  • Angalia Zote

Video

Tangazo la uuzaji wa viwanja
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa