• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Historia


UTANGULIZI

Wilaya ya Kigamboni imeundwa kutokana na Wilaya mama ya Temeke na ni moja kati ya Wilaya 5 zinazounda Mkoa wa Dar es Salaam. Wilaya ya Kigamboni ilianzishwa kupitia Tangazo la Serikali Na. 462 la mwaka 2015 kwa lengo la kusogeza huduma kwa wananchi karibu zaidi.

 ENEO LA WILAYA

Wilaya ya Kigamboni ina eneo la kilomita za mraba 577.9 sawa na hekta 57,786.8 na ukanda wa Pwani wenye urefu wa kilometa 65.  Aidha Wilaya  ya Kigamboni kwa upande wa mashariki inapakana na Bahari ya Hindi, kusini inapakana na Wilaya ya Mkuranga – Mkoa wa Pwani na upande wa kaskazini inapakana na Bahari ya Hindi na upande wa magharibi imepakana na Wilaya ya Temeke.

 IDADI YA WATU

Kufuatia Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 Wilaya ya Kigamboni ilikuwa na jumla ya watu 162,932 na kaya 40,133.  Kati ya hao wanaume walikuwa 81,199 na wanawake walikuwa 81,733. Hadi kufikia Desemba mwaka 2019, Wilaya ya Kigamboni inakisiwa kuwa na wakazi wapatoa 238,591 kati yao wanawake ni 119,686 na wanaume ni 118,905 hii ni kutokana na ongezeko la asilimia 5.6 kwa mwaka.




Matangazo

  • Namba za simu za Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigamboni July 04, 2022
  • Tangazo la Usaili nafasi ya Dereva daraja la II mwandishi mwendesha ofisi daraja la II na msaidizi wa kumbukumbu daraja la II September 19, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa kuandika kada ya Mtunza kumbukumbu daraja la II September 24, 2023
  • Tangazo la mnada Manispaa ya Kigamboni February 22, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji waagizwa kuandaa Mkakati wa uzoaji taka

    September 26, 2023
  • Mama lishe na Baba lishe wamshukuru Mhe. DC kwa kutatua na kusikiliza kero zao

    September 25, 2023
  • Wananchi wa Manispaa ya Kigamboni watakiwa kutunza vyanzo vya maji

    September 22, 2023
  • Wataalamu idara ya Ardhi watakiwa kutekeleza Mradi wa uboreshaji usalama wa Milki za Ardhi kwa vitendo

    September 19, 2023
  • Angalia Zote

Video

RC CHALAMILA KUKOMESHA UTAPETILI WA ARDHI
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa