• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Huduma za Elimu

IDARA YA ELIMU YA MSINGI

              HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA IDARA YA ELIMU YA MSINGI;

  1. Kufuatilia na kusimamia utekelezaji wa taarifa za ukaguzi wa shule za msingi.
  2. Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Elimu na miongozo ya Elimu rasmi na elimu nje ya mfumo rasmi pamoja na uboreshwaji wa Taaluma
  3. Kuratibu na kusimamia uendeshaji wa majaribio, mitihanai ya ndani, mkoa na Taaifa Elimu ya msingi.
  4. Kuratibu na Kusimamia ufanyikaji wa mashindano ya Taaluma kwa shule za msingi yanayoadhimishwa katika kilele cha wiki la elimu kila mwaka.
  5. Kuratibu na kusimamia Elimu nje ya mfumo rasmi kupitia mpango wa elimu kwa walioikosa (MEMKWA)
  6. Kusimamia na kuendesha Uwiano wa Kielimu kati ya Jamii (MUKEJA) kupitia vikundi vya ujasiriamali.
  7. Kuratibu na Kusimamia ufanyikaji wa michezo na mashindano ya michezo  ya UMITASHUMTA kwa shule za msingi.
  8. Kusimamia na kuhakikisha walimu  na watumishi wengine wasio. Walimu wa shule za msingi wanafanyiwa tathmini ya wazi ya utendaji kazi (OPRAS).
  9. Kuratibu na kusimamia ukusanyaji, uchambuzi na utumaji/utoaji wa  takwimu sahihi za Elimu ya msingi.
  10. Kusimamia na kufuatilia ukarabati, upanuzi na ujenzi wa shule za msingi.
  11. Kuratibu na kusimamia uagizaji na usambazaji wa vifaa vya shule kufuatana mahitaji ya shule.
  12. Kufanya makisio ya walimu na walimu wa ufundi  kulingana na idadi ya shule na wanafunzi.

IDARA YA ELIMU SEKONDARI
              HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA IDARA YA ELIMU SEKONDARI

  1. Kufuatilia na kusimamia utekelezaji wa taarifa za ukaguzi wa shule za sekondari.
  2. Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Elimu na miongozo ya Elimu pamoja na uboreshwaji wa Taaluma
  3. Kuratibu na kusimamia uendeshaji wa mitihani (ndani na Taifa) Elimu ya Sekondari.
  4. Kuratibu na Kusimamia ufanyikaji wa mashindano ya Taaluma kwa shule za sekondari.
  5. Kuratibu na Kusimamia ufanyikaji wa michezo na mashindano ya michezo  ya UMISSETA kwa shule za sekondari.
  6. Kusimamia na kuhakikisha walimu  na watumishi wengine wasio. Walimu wa shule za sekondari wanafanyiwa tathmini ya wazi ya utendaji kazi (OPRAS).
  7. Kuratibu na kusimamia ukusanyaji, uchambuzi na utumaji/utoaji wa  takwimu sahihi za Elimu ya sekondari.
  8. Kusimamia na kufuatilia ukarabati, upanuzi na ujenzi wa shule za sekondari.
  9. Kuratibu na kusimamia uagizaji na usambazaji wa vifaa vya shule kufuatana mahitaji ya shule.
  10. Kufanya makisio ya walimu kimadaraja na kimasomo.




Matangazo

  • Namba za simu za Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigamboni July 04, 2022
  • Tangazo la kuitwa kazini July 12, 2022
  • Tangazo la Makampuni yanayojihusisha na upimaji na uuzaji wa viwanja December 21, 2022
  • Tangazo la uuzaji wa viwanja Manispaa ya Kigamboni December 08, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKALLA ATOA VIPA UMBELE KWA WAKUU WA WILAYA WAPYA DAR ES SALAAM

    January 31, 2023
  • RC MAKALLA ATOA VIPA UMBELE KWA WAKUU WA WILAYA WAPYA DAR ES SALAAM

    January 31, 2023
  • WANAFUNZI WATARAJIWA KIDATO CHA KWANZA WATAKIWA KURIPOTI SHULENI KWA WAKATI

    January 30, 2023
  • MTOTO ANA HAKI YA KUPEWA ELIMU MUANDIKISHE

    January 29, 2023
  • Angalia Zote

Video

Tangazo la uuzaji wa viwanja
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa