• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO) yatakiwa kutekeleza majukumu yao kwa kufuata sheria

Posted on: June 2nd, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mh. Halima  Bulembo ameyataka mashirika yasiyo ya kiserikali kutekeleza shughuli zao kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu bila kuathiri tamaduni za jamii ya Tanzania.


Hayo ameyasema leo wakati wa ufunguzi  wa kikao cha wadau wa Mashiriki ya kiserikali ( NGO),Maafisa Maendeleo  ya Jamii na Ustawi wa Jamii kilichofanyika  katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigamboni.


Mh. Bulembo aliongeza kwa kusema yapo mashirika yanafanya vizuri katika kuisaidia jamii ila yapo baadhi ambayo yamekua chachu ya kuleta mmomonyoko wa maadili  unaopelekea kuleta sintofahamu ndani ya jamii.


Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji Mkurugenzi Mtendaji wa Eden Garden foundation shirika linalosaidia wadada wanaojiuza  bi. Martha Minja  amesema mpaka kufikia mwezi Mei,2023 tayari wamefanikiwa kutoa elimu kwa walengwa 58 hasa wale wanaojiuza katika maeneo mbali mbali ndani ya Manispaa ya Kigamboni.


Bi. Minja aliendelea kwa kusema jumla ya walengwa 58 tayari wameshapatiwa huduma  ya ushauri wa namna ya kukabiliana na kuachana  kabisa na biashara ya kuuza mwili kwa kushirikiana na  idara ya ustawi wa jamii.


Wilaya ya Kigamboni kupitia  ofisi ya Mkurugenzi Manispaa imefanikiwa kusajili jumla ya mashirika  41 yasiyo ya kiserikali yanayofanya kazi na Halmashauri ya Wilaya.

Matangazo

  • Namba za simu za Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigamboni July 04, 2022
  • Tangazo la Usaili nafasi ya Dereva daraja la II mwandishi mwendesha ofisi daraja la II na msaidizi wa kumbukumbu daraja la II September 19, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa kuandika kada ya Mtunza kumbukumbu daraja la II September 24, 2023
  • Tangazo la mnada Manispaa ya Kigamboni February 22, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji waagizwa kuandaa Mkakati wa uzoaji taka

    September 26, 2023
  • Mama lishe na Baba lishe wamshukuru Mhe. DC kwa kutatua na kusikiliza kero zao

    September 25, 2023
  • Wananchi wa Manispaa ya Kigamboni watakiwa kutunza vyanzo vya maji

    September 22, 2023
  • Wataalamu idara ya Ardhi watakiwa kutekeleza Mradi wa uboreshaji usalama wa Milki za Ardhi kwa vitendo

    September 19, 2023
  • Angalia Zote

Video

RC CHALAMILA KUKOMESHA UTAPETILI WA ARDHI
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa