• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

RC Chalamila asisitiza usimamizi wa Miradi ya Maendeleo

Posted on: June 2nd, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Albert Chalamila amewataka viongozi wa wilaya na Halmashauri kusimamia kwa weledi utekelezaji wa miradi ya  maendeleo huku wakifata sheria na taratibu  stahiki za manunuzi.


Rc Chalamila  ametoa wito huo leo Juni  1, 2023 wakati alipofanya ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha kwa viongozi na watumishi wa wilaya ya Kigamboni.


Aidha katika kikao hicho amewasisitiza Wah. Madiwani kuwa mstari wa mbele katika usimamizi wa miradi huku akiwata kuhamasisha wananchi kushiriki katika shughuli za Maendeleo.


Sambamba na hilo Mh. Chalamila alitoa rai kwa viongozi Idara ya Elimu kuja na mpango mkakati utakaosaidia kuinua elimu ndani ya wilaya huku ukilenga kuongeza mapato kwani uwezekano wa kufanya hivyo upo ikiwa tu wataamua kuwa wabunifu.


Akizungumzia swala la ukusanyaji wa mapato Mh. Chalamila alisema kumekua na ukusanyaji dhaifu hasa wa ushuru wa huduma hivyo ameelekeza watendaji kusaidia katika ukusanyaji wa kodi hiyo.


Akitoa neno la shukrani Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni  Mh. Halima Bulembo alizitaja changamoto ikiwemo migogoro mikubwa ya ardhi na ubovu wa barabara.

Matangazo

  • Namba za simu za Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigamboni July 04, 2022
  • Tangazo la Usaili nafasi ya Dereva daraja la II mwandishi mwendesha ofisi daraja la II na msaidizi wa kumbukumbu daraja la II September 19, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa kuandika kada ya Mtunza kumbukumbu daraja la II September 24, 2023
  • Tangazo la mnada Manispaa ya Kigamboni February 22, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mama lishe na Baba lishe wamshukuru Mhe. DC kwa kutatua na kusikiliza kero zao

    September 25, 2023
  • Wananchi wa Manispaa ya Kigamboni watakiwa kutunza vyanzo vya maji

    September 22, 2023
  • Wataalamu idara ya Ardhi watakiwa kutekeleza Mradi wa uboreshaji usalama wa Milki za Ardhi kwa vitendo

    September 19, 2023
  • Bandari ya Dar es Salaam yatoa Tsh Mil 10 kwaajili ya ujenzi wa Uzio, Hospitali ya Wilaya ya Kigamboni

    September 15, 2023
  • Angalia Zote

Video

RC CHALAMILA KUKOMESHA UTAPETILI WA ARDHI
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa