• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Watendaji Kata, Mitaa na wakusanya data watakiwa kuwamakini kwenye zoezi la Uhakiki wa Anwani za makazi.

Posted on: June 30th, 2022

Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Kigamboni Ndg.Charles Lawisso Leo amefungua mafunzo ya Mfumo wa NAPA awamu ya pili kwaajili ya kuwajengea uwezo Watendaji wa Kata,Mitaa na Wakusanya data kuweza kutekeleza vyema Uhakiki wa Anwani za Makazi.

Akifungua mafunzo hayo leo kwenye ukumbi wa Manispaa amewasisitiza washiriki hao kuwa makini ili zoezi la Uhakiki wa Anwani liweze kutekelezeka kwa ufanisi.

Aidha ametumia fursa hiyo kuwakumbusha wananchi wa Kigamboni kufika kwenye ofisi za  za Mitaa ili kuweza kuhakiki taarifa zao na kufanya marekebisho ikiwa yatakuwepo.

Ameendelea kwa kusema kuwa Anwani za makazi ni zoezi linaloendelea likilenga kurahisisha zoezi la  Sensa ya watu na Makazi linalotarajiwa kufanyika August 23 , pia Anwani hizi zitarahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Mafunzo hayo yamewezeshwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Wizara ya Habari na mawasiliano.

TAARIFA ZA ANWANI ZIMEBANDIKWA KWENYE OFISI ZA MITAA YOTE 67 ,MWANANCHI SHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE  UHAKIKI WA  ANWANI ZA MAKAZI.


Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni Ndg.Charles Lawisso akisisitiza washiriki kuwa makini na mafunzo.


Washiriki wa mafunzo ya Mfumo wa NaPA awamu ya Pili.



Mratibu wa Anwani za Makazi Wilaya ya Kigamboni Bib.Magdalena Malunda akitoa maelekezo kwa washiriki.


Baadhi ya washiriki wa mafunzo


Mkufunzi kutoka wizarani akitoa mafunzo ya mfumo we NaPA kwa washiriki.




Matangazo

  • Namba za simu za Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigamboni July 04, 2022
  • Tangazo la kuitwa kazini July 12, 2022
  • Tangazo la kuitwa kazini July 12, 2022
  • Tangazo la kuitwa kazini July 12, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MAANDALIZI TAMASHA LA HAMASA YA SENSA YAWIVA

    August 11, 2022
  • JUHUDI ZA RAIS WA JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA KUINUA UTALII ZAUNGWA MKONO

    August 09, 2022
  • JUHUDI ZA RAIS WA JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA KUINUA UTALII ZAUNGWA MKONO

    August 09, 2022
  • WAJUMBE WA MENEJIMENTI YA MANISPAA YA KIGAMBONI WAUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAIA

    August 07, 2022
  • Angalia Zote

Video

RC Makalla aipongeza Kigamboni kwa Hati safi miaka 5 mfululizo
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa