• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Elimu Sekondary


1.0 UTANGULIZI

Utoaji wa Elimu ya sekondari unazingatia vyema matakwa ya sera ya Elimu na mafunzo ya mwaka 2014 Tamko Na. 3:1:3 serikali itaweka utaratibu wa elimu msingi kuwa ya lazima kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne; na kutolewa kwa miaka kumi na umri wa kuanza darasa la kwanza kuwa kati ya miaka minne hadi sita  kulingana na maendeleo na uwezo wa mtoto kumudu masomo katika ngazi husika na elimu hiyo itatolewa kwa umma bila ada kumwezesha mwanafunzi kupata ujuzi stahiki kulingana na mfumo wa Tuzo wa Taifa.

2.0 MAJUKUMU YA IDARA

i.    kusimamia ufanyikaji   wa mtihani ya utamilifuā€ na mitihani ya Taifa

ii.    Kusimamia upatikanaji wa vifaa vya kufundishia nakujifunzia

iii.    Kukusanya na kuhakiki takwimu za shule 20 za sekondari (TSS) 2016/2017

iv.    Kusimamia upatikanaji wa miundombinu nasamani za shule za serikali. Kdhalika kukagua miundombinu, mazingira, hali ya samani na uendeshaji wa Taaluma katika shule za sekondari.

v.    Kuandaa orodha na gharama  za likizo ya malipo kwa watumishi  wa idara ya sekondari

vi.    Kuandaa mapendekezo ya walimu wa shule za serikali kupanda madaraja/vyeo kwa kila mwaka

vii.    Kukusanya, kuhakiki na kuunganisha taarifa za MMES za kila robo ya mwaka kwa shule za  sekondari za serikali na kuziwasilisha Mkoani na TAMISEMI

viii.    Kuandaa na kuratibu wanafunzi wa shule za sekondari kushiriki mashindano ya michezo ya UMISETA ngazi ya shule hadi Taifa

ix.    Kusimamia utekelezwaji wa Mitaala katika ngazi za shule

x.    Kusimamia ujenzi ,ukarabati na upatikanaji wa miundombinu na samani za shule

xi.    Kufanya makisio ya mahitaji ya walimu kimasomo

xii.    Kusimamia na kufuatilia mapato na matumizi ya fedha katika shule

xiii.    Kuwatambua wanafunzi wenye mahitaji maalum na kuwapa mahitaji husika

xiv.    Kuwatambua wanafunzi wanaotoka mazingira magumuna na kuwapa msaada wa kielimu

Kufanya vikao na kuchukua hatua juu ya maauzi /makubaliano katika kuboresha Elimu ya sekondari.


3.0    HUDUMA ZINAZOTOLEWA

i.     Kutoa miongozo na ushauri wa Elimu kwa wanafunzi na wazazi;

ii.     Kusimamia na kupitisha uhamisho wa wanafunzi;

iii.     Kutoa elimu kwa wanafunzi, wazazi na wananchi kwa ujumla juu ya umuhimu wa Elimu ya sekondari



Matangazo

  • Tangazo la nafasi za kazi kukusanya Taarifa za anwani za Makazi na Postikadi February 14, 2022
  • Tangazo la kuitwa Kazini March 02, 2022
  • Tangazo la mnada Manispaa ya Kigamboni February 22, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili February 25, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mmefanya vizuri kwa awamu zilizopita, naomba mmalizie sehemu iliyobaki vizuri zaidi.Waziri Nape.

    May 18, 2022
  • mmefanya vizuri kwa awamu zilizopita, naomba mmaliie sehemu iliyobaki vizuri zaidi.Waziri Nape.

    May 18, 2022
  • Mwenge wa Uhuru Kigamboni waridhia miradi yenye thamani ya Bilion 1.4

    May 13, 2022
  • Mwenge wa Uhuru Kigamboni waridhia miradi yenye thamani ya Bilion 1.9

    May 13, 2022
  • Angalia Zote

Video

Uzinduzi wa chanjo ya polio Manispaa ya kigamboni
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa