• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi


Majukumu ya Idara

1. Kuandaa michoro ya Mipango miji

2. Kufanya marekebisho ya michoro ya Mipango miji

3. Kupitia vibali vya ujenzi

4. Kusimamia uendelezaji wa ardhi kwa mujibu wa Sheria za ardhi

5. Kutoa elimu na ushauri kwa wananchi juu ya masuala ya Mipango miji

6. Kuandaa barua za toleo(Allocation Letter)

7. Kuandaa Hati milki za viwanja

8. Kuandaa Leseni za Makazi

9. Kukagua maeneo kabla ya kutoa milki

10.Kusikiliza malalamiko yanayohusu masuala ya milki za Ardhi

11.Kutoa vibali vya mauziano ya milki za ardhi.

 Kuandaa barua za toleo(Allocation Letter)

 Kuandaa Hati milki za viwanja

 Kuandaa Leseni za Makazi

 Kukagua maeneo kabla ya kutoa milki

 Kusikiliza malalamiko yanayohusu masuala ya milki za Ardhi

 Kutoa vibali vya mauziano ya milki za ardhi.

 Kufufua mipaka ya viwanja vilivyokuwa na migogoro na hata kutoa

ushahidi mahakamani.

 Kusimamia na kutoa maelekezo ya Upimaji Ardhi katika Manispaa.

 Kukagua na kuwasilisha ramani za Upimaji viwanja vya mradi na

maombi binafsi kwa Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani

 Kuonyesha viwanja na mipaka ya barabara zinazosafiishwa katika eneo

la mradi Gezaulole.

 Kuandaa na kutengeneza alama za Mipaka. Beacons 10,000 na iron pins

14,000.Kukadiria kodi ya pango la ardhi kwa ajili ya viwanja

 Ukadiriaji wa thamani kwa ajili ya kodi ya majengo

 Kukadiria thamani kwa ajili ya uhamisho wa milki mbalimbali

 Kukadiria thamani kwa ajili ya mikopo

 Kuthamini kwa ajili ya fidia maeneo mbalimbali

 Kufanya uthamini ( mass valuation) kwa ajili ya kukadiria kodi za majengo

 Kushughulikia masuala mbalimbali ya fidia katika eneo la Mradi wa

Upimaji wa Viwanja Gezaulole

 Kushughulikia matatizo mbalimbali ya uthamini kwa wananchi

wanaojitokeza kuhitaji huduma hiyo.

 Kutekeleza majukumu mengine kwa mujibu wa maagizo ya Mkurugenzi

wa Manispaa.


Matangazo

  • Namba za simu za Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigamboni July 04, 2022
  • Tangazo la kuitwa kazini July 12, 2022
  • Tangazo la nafasi za kazi Manispaa ya Kigamboni February 27, 2023
  • Tangazo la uuzaji wa viwanja Manispaa ya Kigamboni December 08, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Vikundi Manispaa. Ya Kigamboni vyapokea mikopo

    March 22, 2023
  • TANGAZO LA VIWANJA

    March 22, 2023
  • TANGAZO LA VIWANJA

    March 22, 2023
  • DC BULEMBO ASHIRIKI KATIKA USAFI WA MWISHO WA MWEZI

    February 25, 2023
  • Angalia Zote

Video

Tangazo la uuzaji wa viwanja
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa