• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Uwekezaji Mifugo

FURSA ZA UWEKEZAJI ZILIZOPO KWENYE MIFUGO NA UVUVI KATIKA MANISPAA

•Uwepo wa eneo kubwa la ukanda wa bahari lenye urefu wa takribani kilomita sitini na tano (65), uwepo wa mialo mingi pamoja na idadi kubwa ya wavuvi, hivyo kutoa fursa kwa uwekezaji katika maeneo  yafuatayo:

Ujenzi wa soko la samaki

 Ujenzi wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki.

Ujenzi wa bandari za kupokelea samaki (landing sites).


  1. •Uwepo wa maeneo yanayofaa kwa ufugaji wa samaki aina zote (maji chumvi na maji baridi).
  2. •Manispaa ina jumla ya ng’ombe 18,922, mbuzi 11,562 na kondoo 3,415. Soko la nyama lipo na linazidi kukua sambamba na ukuaji wa Manispaa ya Kigamboni ambapo mahitaji halisi ya nyama ni kilo 3000 kwa siku, pia Manispaa ina jumla ya mabucha 110 hivyo kutoa fursa kwenye uwekezaji wa Machinjio ya Mifugo.
  3. •Manispaa ina kituo cha kukusanyia maziwa kwani Manispaa ina jengo,vifaa vya kupima ubora wa maziwa na vyombo (tanks) vya kukusanyia maziwa.
  4. •Uwepo wa Chuo cha Kilimo na Mifugo Borigaram kinachotoa Taaluma ya Kilimo na Mifugo ili kuendeleza sekta ya Kilimo na Mifugo.
  5. •Manispaa ya Kigamboni ambayo ni miongoni mwa Manispaa zinazounda Mkoa wa Dar es salaam ipo karibu na miundombinu ya Bandari, Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere pamoja na kuwa na kiunganishi kizuri cha barabara kwenda mikoa mingine hivyo kuwa ni fursa nzuri  katika uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya uzalishaji wa mifugo na mazao  ya mifugo na uvuvi na kuweza kusafirisha ndani na nje ya nchi.

AINA YA MIFUGO NA IDADI YAKE


  1. Ng’ombe wa Asili                   10,259
  2. Ng’ombe wa Maziwa              8,263
  3. Mbuzi wa Asili                       10.519
  4. Mbuzi wa Maziwa                  1,043
  5. Kondoo                                  3,415
  6. Nguruwe                                1,296
  7. Punda                                      39
  8. Ngamia                                  222
  9. Farasi                                    51
  10. Kuku wa Asili                         48,909
  11. Kuku wa Mayai                      40,070
  12. Kuku wa nyama                    100,524
  13. Bata Bukini                            64
  14. Bata mzinga                          549
  15. Bata maji                               7,149
  16. Sungura                                846
  17. Nyati maji                             739
  18. Kanga                                  1,073
  19. Kwale                                    80
  20. Mbwa                                    1.931
  21. Paka                                       599

Matangazo

  • Namba za simu za Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigamboni July 04, 2022
  • Tangazo la kuitwa kazini July 12, 2022
  • Tangazo la nafasi za kazi Manispaa ya Kigamboni February 27, 2023
  • Tangazo la uuzaji wa viwanja Manispaa ya Kigamboni December 08, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Vikundi Manispaa. Ya Kigamboni vyapokea mikopo

    March 22, 2023
  • TANGAZO LA VIWANJA

    March 22, 2023
  • TANGAZO LA VIWANJA

    March 22, 2023
  • DC BULEMBO ASHIRIKI KATIKA USAFI WA MWISHO WA MWEZI

    February 25, 2023
  • Angalia Zote

Video

Tangazo la uuzaji wa viwanja
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa